Unatumia KISWASWADU gani?

Unatumia KISWASWADU gani?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Mada ipo wazi tuambie unatumia kiswaswadu gani na "mama yake" smart gani?

Naanza mwenyewe

Smart phone ni Samsung Note9 na kiswaswadu ni Nokia 3310
20220821_233853.jpg
20220821_233932.jpg
 
Natumia Huawei P30 pro na Nokia 5310
 
Kuwa na simu ya smart kwa kipindi hiki alafu tena una kisimu kidogo pembeni hizo ni zama za kale za mwaka 2014 Samsung yangu s5 ilinitesa sana na swala la kuisha chaji mapema ikabidi niitafutie bimdogo kiswaswadu wa kumsaidia
 
Xiaomi Mi lite 11

Sihitaji kitochi Ngoma inapiga Kazi saana
 
Back
Top Bottom