EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 Aug 21, 2022 #1 Mada ipo wazi tuambie unatumia kiswaswadu gani na "mama yake" smart gani? Naanza mwenyewe Smart phone ni Samsung Note9 na kiswaswadu ni Nokia 3310
Mada ipo wazi tuambie unatumia kiswaswadu gani na "mama yake" smart gani? Naanza mwenyewe Smart phone ni Samsung Note9 na kiswaswadu ni Nokia 3310
Tyrex JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 2,373 Reaction score 5,100 Aug 21, 2022 #2 Natumia Huawei P30 pro na Nokia 5310
Nyamwage JF-Expert Member Joined Oct 16, 2020 Posts 712 Reaction score 1,748 Aug 22, 2022 #4 Kuwa na simu ya smart kwa kipindi hiki alafu tena una kisimu kidogo pembeni hizo ni zama za kale za mwaka 2014 Samsung yangu s5 ilinitesa sana na swala la kuisha chaji mapema ikabidi niitafutie bimdogo kiswaswadu wa kumsaidia
Kuwa na simu ya smart kwa kipindi hiki alafu tena una kisimu kidogo pembeni hizo ni zama za kale za mwaka 2014 Samsung yangu s5 ilinitesa sana na swala la kuisha chaji mapema ikabidi niitafutie bimdogo kiswaswadu wa kumsaidia
richie ze best JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 600 Reaction score 1,023 Aug 22, 2022 #5 Shida nina mambo mengi mno,lazima kism kidogo kipotee
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 19,955 Reaction score 45,207 Aug 22, 2022 #6 Xiaomi Mi lite 11 Sihitaji kitochi Ngoma inapiga Kazi saana