Unatumia mswaki brand gani, tushirikishe

Unatumia mswaki brand gani, tushirikishe

Shalom wakuu…

Unatumia mswaki brand gani nzuri? Maana miswaki yetu hii ya whitedent ya jero jero ukiswakia mara chache tayari haifai.

Brand ipi nzuri wakuu?
Sina Brand maalum, natumia Whitedent ile ya 1,500 na mara nyingi huwa natumia ile miswaki inakua packed kwenye toothpaste box.
Hii ya jero jero waachie wadogo zako sasa, kinywa chako hakitaki hio, tukumbuke kuna ukubwa wa miswaki na ugumu wake.
 
Back
Top Bottom