Unatumia wimbo gani kama ringtone kwenye simu yako?

[emoji3]Mkuu kuna wengine hawaujui kwahio nawarahisishia,kama unaujua hakuna ulazima
Mantiki yangu siyo kuujua wimbo (hata mimi siujui) ila why utuwekee link ya dadako hata hiyo ringtone ungeweza kuiweka na tukaisikia, simple and clear!.

Unatakiwa uelewe mfumo wa maisha ya bundle na uchumi wa kati siyo wa kufungua fungua ovyo sinema!.
 
Sawa,nimekusoma sorry kwa kumuweka 'dadangu' hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…