Unatunyima nini huko ulipo?

Unatunyima nini huko ulipo?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mazingira unamoishi ndo yanafanya baadhi ya vitu uvifaidi vikiwa fresh ilihali sisi wengine inabidi tusubiri vitufikie tununue Kwa pesa nyingi.

Mimi binafsi napoishi na ninapofanyia kazi ni karibu kabisa na ufukwe wa Bahari yetu ya Hindi ni kama mita 200 tu kugusa Beach haihitajiki usafiri wowote kufika pwani so asubuhi tu mapema saa 12:30 panafanyika mnada wa samaki wavuvi wanakuwa wametoka kuvua usiku pale samaki wa 2000 wala huwawezi ni wengi sana napiga supu na wamboga kabisa bila kusahau vi bronze,na vidagaa mchele ndo naokota Bure kabisa, pweza nanunua kilo tsh. 4000 tu. Pamoja na madafu ya Bure maana minazi ndo imenizunguka kama yote, bila kusahau kinywaji kinaitwa mnazi /tembo kinywaji asilia toka Kwa Mungu hakijatengenezwa na mtu.

nikitoka mishemishe naenda moja Kwa moja kula upepo Mpaka usiku Beach Kule amani muda wote starehe unafanya mambo yako hakuna wa kukufuatilia maana upande mmoja bahari upande mwingine minazi tu hivyo hakunaga hata askari atakuja kuleta lomoni nadhani mnajua mambo yetu ya usela na wahuni. Kwa hiyo sanasana hivyo tu ndo navyo enjoy UCHUMI WA BLUE hata bila ya kuwa na maokoto mengi. Je na wewe mazingira yako huko Bara kipi kimekuzunguka unadowea tu muda wowote?
 
Huku kigamboni Kuna upepo mzuri sana na samaki kibao nikitaka kibua au Tasi nawapata
Bronze hao wanapanda au huwapendi. Kwa Lindi kibua hatuna wengi sana labda huyo Tasi ndo sana
 
Attachments

  • DSC_0068.JPG
    DSC_0068.JPG
    2.7 MB · Views: 4
Mazingira unamoishi ndo yanafanya baadhi ya vitu uvifaidi vikiwa fresh ilihali sisi wengine inabidi tusubiri vitufikie tununue Kwa pesa nyingi.

Mimi binafsi napoishi na ninapofanyia kazi ni karibu kabisa na ufukwe wa Bahari yetu ya Hindi ni kama mita 200 tu kugusa Beach haihitajiki usafiri wowote kufika pwani so asubuhi tu mapema saa 12:30 panafanyika mnada wa samaki wavuvi wanakuwa wametoka kuvua usiku pale samaki wa 2000 wala huwawezi ni wengi sana napiga supu na wamboga kabisa bila kusahau vi bronze,na vidagaa mchele ndo naokota Bure kabisa, pweza nanunua kilo tsh. 4000 tu. Pamoja na madafu ya Bure maana minazi ndo imenizunguka kama yote, bila kusahau kinywaji kinaitwa mnazi /tembo kinywaji asilia toka Kwa Mungu hakijatengenezwa na mtu.

nikitoka mishemishe naenda moja Kwa moja kula upepo Mpaka usiku Beach Kule amani muda wote starehe unafanya mambo yako hakuna wa kukufuatilia maana upande mmoja bahari upande mwingine minazi tu hivyo hakunaga hata askari atakuja kuleta lomoni nadhani mnajua mambo yetu ya usela na wahuni. Kwa hiyo sanasana hivyo tu ndo navyo enjoy UCHUMI WA BLUE hata bila ya kuwa na maokoto mengi. Je na wewe mazingira yako huko Bara kipi kimekuzunguka unadowea tu muda wowote?
Uko wapi?
 
Back
Top Bottom