Ushuzi ajambe Gigy, aibu uone wewe?Watanzania wengi katika mitandao ya kijamii hususan instagram wameonekana kukerwa na msanii Gigy Money kwa namna alivyokuwa akicheza densi isiyo ya kistaarabu huku ameshika bendera ya taifa mkononi, katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya.
Kwenye video hio Gigy anaonekana akicheza kihuni huku akiimba...."jambo ! Jambo Kenya ! Karibu Kenya hakuna matata.
Baadhi ya watanzania hivi sasa tumekosa mambo muhimu ya kufuatilia... Hivi tunafuatilia mpaka binti msanii wa muziki akikata viuno....Ushuzi ajambe Gigy, aibu uone wewe?
Utakuwa na maradhi wewe.
Inaweekana watu wanaogopa wakifuatilia siasa wanafungwa kwa kesi za kimtandao!Baadhi ya watanzania hivi sasa tumekosa mambo muhimu ya kufuatilia... Hivi tunafuatilia mpaka binti msanii wa muziki akikata viuno....
Huko tuendako tutashangaa tukimuona kapteni wa timu ya soka akipiga danadana aiport...
Wabongo wengi wana herd thinking, wako kama some borg.Anajitia aibu [if that] mwenyewe!
Mimi haniwakilishi kwa lolote lile.
Really?Problem sio mauno kunengua. Hapana hilo mbona tu shwari.......tatizo ni bendera ya taifa mkononi kwenye densi za kihuni.
Swadakta. Hamna kashfa. Msabahi mkeo kama anavyo vichupi hivyo.Really?
Ukija kuona vichupi vya kamba vyenye rangi za bendera ya taifa si utakufa kwa mshtuko wewe....
Wale wacheza porn wanaochukua videos wakiwa kitandani kina bendera ya marekani unasemajeProblem sio mauno kunengua. Hapana hilo mbona tu shwari.......tatizo ni bendera ya taifa mkononi kwenye densi za kihuni.
Hahaaaa!Swadakta. Hamna kashfa. Msabahi mkeo kama anavyo vichupi hivyo.
Narudia tena mauno kunengua hamna issue... Concern ni bendera yetu ya taifa kudhalilika.
We love this nation too much ! The slightest disrespect to our flag inatukera !
Period
Kwani taifa halina wahuni?Problem sio mauno kunengua. Hapana hilo mbona tu shwari.......tatizo ni bendera ya taifa mkononi kwenye densi za kihuni.
Kwani taifa halina wahuni?
Yani unataka kuwanyima wahuni uwakilishi kwenye taifa lao?