Unauaga mwaka 2021 ukiwa ni mwaka wa aina gani kwako?

Natamani nilie kwanza kabla sijaandika chochote ila enwei,.!

been through a lot but still I have the courage to say THANK YOU LORD, Mwenyezi Mungu kanipa kuwa hai mpaka Leo, kaniepusha na mengi mno, kanipigania kwa mengi sana sana, nimeuona mkono wake 2021, Na ninaamini 2022 nitapokea kutoka kwake pia na zaidi..!!
 
Amen, pole kwa uliyoyapitia
 

Pole kwa changamoto na 2022 ikakupe kufurahi zaidi
 
2021 kwangu ulikuwa mwaka ambao ulinipa kuachive nilichokifuata nchi za watu, ni mwaka ulionipa kumiliki kitu sikuwahi kutarajia, ni mwaka nimeweza kuanza savings japo ni kwa miezi ya mwishoni. In a relationship ni mwaka niliuanza single and naumalizia single.

All in all namshukuru Mungu, and naomba 2022 ukawe mwaka wa furaha na mafanikio zaidi kwangu
 
Ni mwaka ambao ni bora kwangu kuliko mwaka 2020.

Namshukuru sana Muumba kwa pumzi na yote aliyonijalia na anayoendelea kunijalia.
 
Hongera kwa uliyoachive 2021, kila la heri 2022
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…