Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
UNAUFIKIAJE UTAKATIFU?.
Katika mambo ambayo, watu wamefungwa na kuona ni ngumu ni hali ya kufikia utakatifu.
Kanisa katoliki wamebaki kutangaza watu fulani, kuwa ni wenye heri na watakatifu. Tusijue wanatumia vigezo vipi. Ili hali mwenye kujua hilo ni Muumba.
Hakuna njia nyingine zaidi ya meditation, ambayo inasaidia kuendesha hisia na maamuzi, ambayo ndiyo hutokeza matendo yenye fadhira na fadhiri.
Yesu alisisitiza, Kesheni mkiomba.
Akirejelea kumeditate na kumeditate.
IPO HIVI. Meditation ni tukio la dakika kadhaa mpaka masaa kadhaa, lakini ina hathari za kisaikolojia hata baada ya zoezi, hivyo ni sawa na kuwa unaendelea kumeditet hata baada ya zoezi lenyewe.
Hali inayoendelea kisaikolojia huitwa Unyenyekevu kwa lugha ya kimaandiko.
Hivyo Kusema kesheni mkiomba, kesheni mkisubilia ufalme wa Mungu, Kurudi kwa kristo, kuwa macho.
Ni kuendelea kuwa wanyenyekevu wa roho. ( saikolojia )
Katika mfululizo huu nitajibu, kipi kinafanyika katika mwili wako ambao ndiyo hekalu halisi la Mungu.
Kuna milango saba ya fahamu, Biblia inaziita heri.
Kila mlango ukifungua kuna mabadiliko makubwa sana yenye faida kimwili na kiroho.
Ndizo hekima alizoomba suleimani/ Solomoni.
Na kadri alivofungua moja, mafanikio ya kimaisha yalitokea pia.
Wanaoangaikia baraka za mali, utajiri umaarufu, utakatifu, huwezi pata hivyo bila kwanza kumtafuta Yesu Kristo, yaani kuanza harakati za kufungua hii milango yako ya fahamu.
Kwa kusema kumfuata Yesu Kristo usidhani kama wewe usiye Mkristo haikuhusu hapana.
Milango ya kumfikia kristo ipo ndani ya kila mtu hivyo simaanishi kuokoka kwa maigizo ya kilokole au kuwa muamini wa madhehebu ya Kikristo. Au kufikia Utakatifu mpaka uwe muumini wa Katoliki.
Uifungue ipo, usiifungue ipo, uwe unajua ipo, au uwe ujui ipo pia.
Ndiyo maana huwa nasema kila kitu kipo ndani yako, Yesu mwenyewe alisisitiza kama ufalme upo ndani yenu.
Mungu hana Udini ukabila wala upendeleo ndiyo maana hatua zote kaziweka kwa kila mtu, bila kujali unaenda kanisani, msikitini au huna imani yoyote.
Biblia ilitumia neno Kristo kwa maana ni kati ya milango ya fahamu ndani ya mtu.
Wafanya biashara kwa kutojua, kwa kujua hutafsiri neno kristo vibaya ili kutaka watu kujaa katika makanisa yao.
Biblia inasema Hakuna atakaye fika kwa Mungu bila kupita kristo.
Wala hakuna awezaye kumuona Mungu bila kupitia Kristo.
Swali la msingi, je waislamu, wabudha, Wahindu, Wakomfuso, Wayahudi, Wapagani na wasio wakristo haiwahusu?.
Dini Zote, ni mifumo ya biashara, mila na desturi za watu fulani na nasisitiza tena.
Dini haina mahusiano kabisa na Mungu.
Waislamu kidogo walijaribu kukaribia, wanaamini dini ni imani. Tofauti na Wakristo wanaamini dini ni Dhehebu.
Dini zinafundisha kuhusu Mungu, Imani ndiyo ina mlenga Mungu.
Kwani mtu hakiwa ni mlokole, mkatoliki, mwislamu swafi kabisa.
Lakini akawa mchawi, tutasema yuko vizuri kwa sababu tu ana dini?.
Kila mlango wa fahamu katika mwili wako hufungua jambo fulani na huleta matokeo ya kidhahiri na kiroho.
Yesu aliposema msisumbukie maisha yenu, mtakula nini, mtavaa, nini, na kutufananisha na Ndege wa Angani.
Hakumaanisha tuwe wavivu bali alimaanisha tutafute ufalme wa Mungu ambao unafikiwa kwa kifungua hii milango.
Na ki ukweli Hakuna atakaye weza kufungua hata mlango mmoja, maisha yake yakabaki yalivyo.
Asikudanganye mtu eti watumishi halisi wa Mungu ni masikini.
Masikini walio katika nyumba za ibada ni Watumwa tu wa mbwa zilizotajwa katika Isaya.
Kupitia milango hii watajua kama umasikini unaotajwa katika biblia si huu wa kifizikia, bali ni wa kutotafuta mali za dunia bali kufungua milango hii ya kufikia utakatifu. Umasikini wa roho.
Biblia inaposema Utafuteni kwanza ufalme wa Mbingu na mengine mtazidishiwa ina maana ya kuwa, Ukiangaika kufungua hii milango ya fahamu. Kadri unavyofungua ndiyo unafungua na mafanikio ya kimaisha.
Mitume wote walikuwa matajiri, hata yesu, alikuwa tajiri ingawa kuna Wanaosoma biblia kama gazeti, na kusema alikufa masikini sasa yuda alikuwa muweka hadhina wa nini.
Milango hiyo Biblia huita heri, imani za mashariki huita shakras, wana sayansi huita milango ya fahamu.
Kisayansi ipo mitano kwa mwanaume na wamegundua juzijuzi kama mwanamke anao mmoja zaidi wa ziada.
Hivyo mwanamke ana sita, na mwanaume ana tano.
Ukweli muumba kaiweka ipo saba.
Kimaandiko mlango wa saba ndipo unafikia utakatifu/ ukamilifu wa kufanana na Muumba.
Ndiyo unamaanisha kuingia Mbinguni/kuuona ufalme wa Mungu.
Twende pamoja, na nakuhakikishia mfululizo huu una mafundisho ambayo hayafundishwi popote, iwe kanisani, shuleni wala mitaani.
Mungu ndio anakufundisha sasa kupitia mimi.
Nimeufanya kuwa mfululizo sababu, ninataka kukuchanganulia kila hatua na kila mlango, sawa na kuifunua Biblia.
Kwa ambao hamkuelewa kwa Kina kuhusu Meditation mtajifunza mengi.
Na wenye kuhitaji mafundisho ya siri zaidi, weka namba yako ya whazsup inbox nitakuunga, kuna mafundisho mengine ni ngumu kuyaweka hadharani
Tuwe pamoja.
Sisi ni Afrika sisi ni Umoja.