Unaujua ugonjwa huu?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Mtoto kutoka mgongo {sina uhakika kama ndo jina maalum}
 
sana anakuwa kama bata vile,umri ni miaka 3
 
Mleta mada hiyo anaetoka mgongo Nani wako mbona una aandika Kama upo kwenye mashindano ya Mbio?
 
Ni kawaida yangu
Sawa Mkuu,chungiza Kama anaharisha Sana au anapata choo kigumu mno au ana chuchumaa muda mrefu baada ya majibu hayo ndo tunaweza pata ufumbuzi je Ni ugonjwa au laa, na Kama Ni iugonjwa basi Ni viashiria vya ugonjwa gani
 
hivi kutoka mgongo ndio rectal prolapse ?

maana niliishasikia watu wakitumia hilo neno "kutoka mhongo" lakini mpaka leo sijui kama ndio hivyo.
 
hivi kutoka mgongo ndio rectal prolapse ?

maana niliishasikia watu wakitumia hilo neno "kutoka mhongo" lakini mpaka leo sijui kama ndio hivyo.
Ndio mkuu na kutoka mgongo kupo kwa Aina 2 , internally na externally

Internally huwa na malenda malenda na hauonekani vema kwa nje

Externally, hutokeza kabisaa nje na huwa Ni life threatening Kama hutowahi tiba.
Kuna visababishi vingi Kuna nilivyo eleza huko juu lakini pia wengine mkandamizano wa backside hisababisha Hali hii
 
Nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…