SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kwa kuwa watanzania wengi siyo watazamaji wa michezo ya basketball na football (american football siyo soccer), style ya ushangiliaji ya Janshalewa ni kama imekuwa ngeni kwa watazamaji wengi na hata wachezaji wenzake.
Dance hiyo inaitwa "The Griddy" na asili yake ni katika mchezo wa "American Football" hadi baadae imekuwa inatumika sana na wachezaji wa michezo mbalimbali ikiwemo NBA. Ina miaka kama 5 hivi toka imeanza kuwa maarufu.
Hiyo ndiyo The Griddy ya Janshalewa.