Weka video.Kwa kuwa watanzania wengi siyo watazamaji wa michezo ya basketball na football (american football siyo soccer), style ya ushangiliaji ya Janshalewa ni kama imekuwa ngeni kwa watazamaji wengi na hata wachezaji wenzake.
Dance hiyo inaitwa "The Griddy" na asili yake ni katika mchezo wa "American Football" hadi baadae imekuwa inatumika sana na wachezaji wa michezo mbalimbali ikiwemo NBA. Ina miaka kama 5 hivi toka imeanza kuwa maarufu.
Hiyo ndiyo The Griddy ya Janshalewa.
Hapana. Kama ungetaka hivyo ungeweka ujumbe wako huko huko youtubeIngia mjini Youtube mzee utaiona
Kuwa funga mtu na bwana ake sio mchezo BibieWamelewaaa utopolooo...
Ila mechi za Simba na timu zenye nembo ya gsm ni tafu gemu...lazima ukifunga ushangilie buanaaaaa....
Haswaaaa....Kuwa funga mtu na bwana ake sio mchezo Bibie
Goli la KIJANA alilotuliza kifuani kabla ya kuachia bunduki ninatamba huko kwenye screen za CAF. 😁😁Kwa kuwa watanzania wengi siyo watazamaji wa michezo ya basketball na football (american football siyo soccer), style ya ushangiliaji ya Janshalewa ni kama imekuwa ngeni kwa watazamaji wengi na hata wachezaji wenzake.