Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Sep 20, 2020 #1 Wimbo mzuri sana; sasa swala la haki miliki siyo letu wasikilizaji.
Engineer levi Devin JF-Expert Member Joined May 17, 2016 Posts 2,501 Reaction score 1,047 Sep 20, 2020 #2 sikiza huo pia.
Ngorunde Platinum Member Joined Nov 17, 2006 Posts 4,672 Reaction score 9,806 Sep 20, 2020 #3 Kichuguu said: Wimbo mzuri sana; sasa swala la haki miliki siyo letu wasikilizaji. Click to expand... Wakenya ni viumbe wa hovyo sana..kinachowabeba ni ujanja ujanja. Kwa lugha ya mjini watu kama hawa wanaitwa "misheni tauni'. Ujanja mwingi wa kuunga unga matukio ili wapate riziki.
Kichuguu said: Wimbo mzuri sana; sasa swala la haki miliki siyo letu wasikilizaji. Click to expand... Wakenya ni viumbe wa hovyo sana..kinachowabeba ni ujanja ujanja. Kwa lugha ya mjini watu kama hawa wanaitwa "misheni tauni'. Ujanja mwingi wa kuunga unga matukio ili wapate riziki.