comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Mnapitwa na mengikuna sisi ambao tutakua tumelala
Atakua anakula ganja huyoKuna jamaa ameandaa tamasha atajinyonga mubashar/live hapa mtaani kwetu.Ndiyo tunasubiri ifike saa tano usiku tujikusanye uwanja wa dhambi ajinyonge tukimshuhudia live!
kikubwa uhai😀Mnapitwa na mengi
Huwa anaitesti kwa kuipaka machoni.Jamaa ni m-baddest!Atakua anakula ganja huyo
Astaghifilulah!Naumaliza nikiwa kitandani,naipekenyua pekenyua papuchi ya mke wangu!
kuna ubaya mkuu?Astaghifilulah!
Hata kidogo hamna.Carry on!kuna ubaya mkuu?
Mfir£ leo, mwaka mpya na mambo MapyaNaumaliza nikiwa kitandani,naipekenyua pekenyua papuchi ya mke wangu!
Kwakuwalabua chawa na mafisadi ya taifa hili!Kwa upande wangu nipo bar nakula bia baridi wakati nasubiri kitimoto kavu na ndizi za kutosha!
Bila kusahau nawaangalia wahudumu wenye makalio makubwa kama mlima kilimanjaro huku speaker zinakita, basi najiona kama mimi ndio dullyboy.
Location: DSM
Hiyo safiKwakuwalabua chawa na mafisadi ya taifa hili!
Astaghifilulah!Amkodombole kabisa kwenye u-house wa nyuma?Mswalie Mtume!🫸🫷Mfir£ leo, mwaka mpya na mambo Mapya
Hiyo safi sana ndio maishaNagombania remote hapa na mtoto wa shemeji. Nasubiri sister aivishe pilau nile nikombeleze na ukoko