Umekuja kwenye msiba ama harusi ama shughuli yoyote nyumbani watu tushashiba tushakunywa we usiku unaanza kutuuliza eti nilale wapi? Tafuta sehemu yoyote ulale sio unataka kugombania vitanda.
Umekuja kwenye msiba ama harusi ama shughuli yoyote nyumbani watu tushashiba tushakunywa we usiku unaanza kutuuliza eti nilale wapi?tafuta sehemu yoyote ulale sio unataka kugombania vitanda.