JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 706
- 1,230
Pole SanaMimi ni mhanga wa hili..nilifiwa na mtu wangu wa karibu sana yapita miaka sita,lakini haipiti wik bila kumkumbuka,na pia kila ikifika tarehe ya siku aliyotwaliwa hua naumia hata kazin nakua moodless . NATAMAN HII HALI YA KUUMIA INITOKE KABISA.
ndiyo maana watu huhakikisha wamekwenda kuzika. Unapotupa udongo kaburini kumfukia mpendwa wako, wala hutajua machozi yametoka wapi - hapo ndipo maumivu yanafanya kazi yake, na ndiyo mwanzo wa kuanza kusahau.Jiruhusu kusikia maumivu, linapokukuta jambo la kuumiza kama kufiwa ni vyema ukaruhusu maumivu kwa wakati ule ili yaishe kutofanya hivyo kutasababisha uumie kwa muda mrefu zaidi