Elections 2010 Unaupa point ngapi mdahalo (hotuba) ya JK? - Toa sababu...

Anatuletea hadithi za mahawara zake aliokutana nao na mtoto zinahusu nini ktk taifa lililojaa uozo kama hili,hapa mi naona heading ingekuwa tunampa bakora ngapi instead of points!!
 
Mimi nafuta kabisa mdahalo wote.maswali yalivuja kabla kwa maana hiyo hauwezi kumpa marks.pia pamoja na kuvuja mtihani bado hajafaulu amepata alama d.hajaonesha jinsi ya kumkomboa mtanzania ktk umaskini.dhamira ya dhati haikuwepo kabisa.pia waandishi walikua wanauliza maswali kama darasa la saba au ya mgombea udiwani.
 
Niupe point nitazitoa wapi wakati JK mwenyewe hajajishugulisha kuzitafuta. Ni aibu, aibu, aibu... Mzee kigugumizi muda wote, kageuza mdahalo kijiwe cha stori na mwisho wa siku ametoka bila kuelezea hata sera moja. Alichokifanya ni kuwashawishi waliokuwa hawajaamua kumpa kura Dr Slaa wampe bila kinyongo. Hivi wanamwita Dr JK hawaoni aibu???
 
Anatuletea hadithi za mahawara zake aliokutana nao na mtoto zinahusu nini ktk taifa lililojaa uozo kama hili,hapa mi naona heading ingekuwa tunampa bakora ngapi instead of points!!

Done, title imebadilika mkuu!!! JK anatupa raha sana sisi walimu, tumpe maksi tu
 
maswali hayakua relevant ameulizwa maswali ma2 tu ya msingi, lile la kupigia kampeni mafisadi na hili la viongoz kutibiwa nje! Na hakujibu chochote cha maana. Pia wauliza maswali waliandaliwa. Nampa 12.25%
 
kwanza hii haikuwa debate kwa maana mdahalo maana yake ni uchambuzi wa hoja unaotolewa na wagombea kulingana na swali husika. nampa zero kwa maana huu haukuwa mdahalo kwa hiyo siwezi kumpa maksi yeyote kwa ku debate yeye pekee yake , huu ungepatwa kuitwa mkutano wa waandishi wa habari na JK na pia hapo pia ningempa zero kwa kutoa maswali kwa waandishi na kuyajibu maswali hayohayo kwa kutumia nyenzo.
 
Supplementary .... ... wakati najua atakuwa discontinued tu
 
Hilo ameshalijibu, kasema alikimbia sayansi na hesabu akachukua jiografia. Huwa anataja hizo nchi kuonyesha ujuzi wake wa jiographia. kwa hilo nampa 53%

53%? umechakachua juu
 
nawashukuru wote ambao mko objective, unapotoa maksi utoe na sababu hatutaki kumwonea mtu tukapigana vikumbo na kina riz1, miraji pale kitaani..


na wewe pia tukilinganisga na mh. Kikwete, tukupw ngapi?
 
Hakukuwa na mdahalo bali maigizo. Hata hivyo mgombea alishindwa kucheza maigizo hayo waliyoelekezana kabla ya kurushwa hewani. Nasikitika tu kwa vyombo vya habari na wananchi kupoteza muda wao kuangalia maigizo. Ki ukweli hatuna presida, pengine alitaka tu awe rais ili aingie kwenye historia ya marais wa Tz kitu ambacho ni hatari sana.
 
Kama darasa la VIDUDU:
PAUKWA PAKAWA.....
MAUA MAZURI YAPENDEZAA.....
MABATA MADOGO YANAOGELEA....
ZUMZUM ZUU NYUKI LIA WEE....
NK
HAPA NI: 00000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000001%:doh:
 
na wewe pia tukilinganisga na mh. Kikwete, tukupw ngapi?

hapa mkuu umetaga hizo spelling, nakupa 0.00009780009% na rafiki yako jk -0.99%
 
nampa 25% kwa sababu hakujibu maswali aliyoulizwa, alikuwa anajibu mambo yake mwenyewe...
SWALI; VIONGOZI WANATIBIWA SANA NJE YA NCHI, UNALIANGALIAJE HILI?
JIBU: MWANANGU ANAYEFUNDISHA MUHIMBILI ALINIAMBIA SONGEA KUNA HOSPITALI AMBAYO HAINA VIFAA.
SWALI; MUUNDO WAKO WA SERIKALI UTAKUWAJE?
JIBU; MKONGO WA TAIFA UNAJENGWA..
**SERIKALI INAWEZA KUFUTA KESI ZA VIONGOZI WALIOSHITAKIWA KAMA ITAONA USHAHIDI HAUTOSHI...Huu unaoneka na ndo mpango uliondaliwa toka mwanzo!!
Nawasilisha:nono:
 
Kwa mkwere leo ni sawa na kumtungia pepa mwanafunzi wako umuulize 'haja kuu ya walemavu ni nini' yeye akujibu HAJA KUBWA YA WALEMAVU NI MA.VI. Unaulizwa kingine unajibu kingine tena kwa kuchefua zaidi. Huyu JK(BA Economics with 2.0 GPA) alifaa awe mkurugenzi wa THT!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…