Unauthorized Obama biography: Huu ulikuwa mchepuko wa mheshimiwa!

Ukiona hivi ujue kuna watu wanatafuta kiki
 
Acha upuuzi.....kwani alisema alikuwa bikra kabla ajakutana na Michelle?
 
Stori kama ya mwana mfalme wa uingereza, prince charles.
Tofauti ni kwamba Barack aliacha kuendelea na mpenzi wa zamani baada ya kuoa. Charles wala hukujigusa baada ya kumwoa Diana. Aliendelea na mpenzi wa zamani mpaka mkewe diana alipofariki 1997, na kumwoa mpenzi wake wa zamani Camilla mwaka 2005 mwezi wa nne

Visa vya mapenzi vya watu maarufu ni stori zinazopendwa mno na watu wengi na stori hizo huuza sana kwenye magazeti na vitabu.
 
Kwa taarifa tu Charles alitalikiana na na Diana ila pia Camilla hatakaa aitwe Princess of Wales japo mumewe ni crown prince of united kingdom
 
Kwa taarifa tu Charles alitalikiana na na Diana ila pia Camilla hatakaa aitwe Princess of Wales japo mumewe ni crown prince of united kingdom
Kutalikiana kwa charles na diana kulitokana na vuguvugu la mapenzi baina ya charles na camilla.
Kuhusu wadhifa/cheo cha charles na camilla hakutakuwa na chochote kipya kwani malkia elizabeth ameshaamua kwamba ufalme utaenda kwa mjukuu wake William.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…