Unavijua hivi vibanda?

Unavijua hivi vibanda?

Root root AE

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
207
Reaction score
354
Wakuu kwema?
images (11).jpeg

Hivi vibanda vinasaidia sana wafanyabiashara wadogo kuanza kujitafuta.
Naomba kujua yafuatayo:
1- kwa anayetaka kununua, vinauzwa bei gani?
2- kwa anayetaka kukodi, kinakodishwa bei gani?
3- kama nikinunua nikawa nacho nataka kukiweka barabarani, process yake ipoje??
 
Back
Top Bottom