Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
ha ha ha kwa nini mkuu,wewe sio mstaarabu?Nimeandika nikafuta... nikaandika tena nikafuta
Kwa nini mkuu?Sitaki kuwa mstaarabu kwenye zizi la nguruwe.
Ni kweli mkuu,nakubaliana naweHuwezi kujiona mstaarabu kuliko wengine, bali wale ndio wanatakiwa wajione unawazidi kiwango cha ustaarabu.
Tofauti na hapo unajimwambafy
Ni kweli mkuu,kwa mfano A ili awe mstaarabu kwa upande wako unadhani anatakiwa awe na sifa zipi?Ustaarabu ni Ustaarabu
Unakuja tu automatically mkuu
Ila Salamu ya heshima inachukua nafasi kubwa sana kukufanya uonekane mstaarabu/ maongezi /wema
ha ha ha kutokufanya hadharani ndio ustaarabu?Sifanyi ngono hadharani.
Utajuaje sasa kuwa jamii yako inataka uishi maisha fulani?Sema wewe ndio unapenda kuonekana Mstaarabu.
Ustaarabu ni kuishi sawasawa na vile jamii unayoishi inataka.
Eeehh kaka mkubwa au unataka nicheze pornography 😝ha ha ha kutokufanya hadharani ndio ustaarabu?
Wale wako kimaslai mkuuEeehh kaka mkubwa au unataka nicheze pornography 😝
Ni kweli mkuuNi kwakuona.
Na ustaarabu ni tofauti kwa jamii moja na Nyingine.
ha ha haWengine wastaafrika.
Neno "ustaarabu" kwa maana ya "civilization" linatunyanyapaa Waafrika.ha ha ha