Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
ooh bado kijana kumbeHapana nilidhani hivo, lakini kama anadai kipindi ommy ana toka na nainai ye alikua o level basi, seran ni tisini na kitu mana hata dimpoz mwenyewe hajafika 40 just imagine
Hakika... na kujilisha UPEPO!Ubatili mtupu, ubatili mtupu.
Alafu kaka nimekusoma mahala ulikua mawingu, mi ni msanii niombe basi at interview Moja kaka tafadhal kakahahahaha,kumbe Seran ni mtu mzima kama Dr Gwajima? aiseee
Sanaaa kumbe hizi id znaficha mengi sanaooh bado kijana kumbe
Wewe hata hujui.Show time Ndio yenyewe sasa Short time Ndo nini sasaNi short time na sio show time
aiseeeAlafu kaka nimekusoma mahala ulikua mawingu, mi ni msanii niombe basi at interview Moja kaka tafadhal kaka
wewe pia bado kijanaSanaaa kumbe hizi id znaficha mengi sana
Kaka lakini si tulikubaliana kijana mwisho 45 sasa kama ni hivo basi naweza kubali kaka, kaka hujanikib kwanza inshu ya mziki wangu kakawewe pia bado kijana
niko nje ya dar ,halafu sijajua ni aina gani ya sapoti unatakaKaka lakini si tulikubaliana kijana mwisho 45 sasa kama ni hivo basi naweza kubali kaka, kaka hujanikib kwanza inshu ya mziki wangu kaka
hatutaki usumbufu na kupigwa mizinga kila sikuMnaoenda kununua ni kwamba mnashindwa kutongoza huko mtaani au?
Interview mawingu media tosha kabisa Wala sio pesaniko nje ya dar ,halafu sijajua ni aina gani ya sapoti unataka
Makiwendo umeona mabo haya..hahaha
Naona mnaelekezana wazee wa mizagamzanoNi short time na sio show time
Manina walai..mnajua kujitoa muhanga aisee......Wa bei ya chini ni wachafu, tafuta wale wa bei elekezi kuanzia 100,000 huwa wasafi, unaweza kushawishika bila mpira.