Unavyokuja ndio unavyopokelewa kitambaa cheupe.

Mwanaume mpumbavu ukubali kuchezeshwa michezo ya shot time ...kwa maana hiyo michezo matokeo yake ni KUPOTEZA NGUVU ZA KIUME ..aina hii ya kupoteza nguvu za kiume huwa ni mwanaume kutokuwa na matamanio ya muda mrefu na mwanamke baada ya kumpata ...yaani ukipiga bao tu hamu na huyo mwanamke inakufa kabisa au ukiwa na mwanamke kwenye mausiano ukitembea naye mara chache tu hamu naye inakufa kabisa ..hivyo mwanaume aliye kwisha pata madhara ya nguvu za kiume ya aina hii inamlazimu kubadili wanawake muda wote ...
 
Seran unapendwa na alexido tz halafu umemtolea nje
Kaka wewewe kaka wewe🫵 mbaga jr akitia timu hapa, huyo jamaa alinipondaga kwa seran aliniita muua kunguni, kisa aliona naenda kumpiku🤣🤣🤣 vijana bhana Yani badala ajipalilie kwa staili yake eti akani ponda ili pisi seran anishushe dah mbavu sinaaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
No kweli kaka ila short time Ina faida zake japo hasara ni kubwa, Kuna dogo alimla demu huko geita mi sikuwepo sasa ile narudi eneo la tukio ndo namuona huyo demu anachimba mbele sinikauliza huyu vipi hapa nikatonywa na dogo rasi kwamba kapiga short time we eeeeee nilishtuka nikamwambia dogo uwe unauliza huyo demu kawaka na anajulikana kaabisa lakin sababu dogo alipoha short time still alikua safe imagine angekamia mpaka asubuhi
 
Miguu yote😋😋.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…