Unavyokuja ndio unavyopokelewa kitambaa cheupe.

washa vpn ingia google andika escort acha kuhangaika.
kama hauna vpn andika proxy web fanya yako kwenye search engine
 
makampuni binafsi na mashirika ya serikali umeacha kutumia dawa nini maana hao ndio wamejaa mdudu
 
makampuni binafsi na mashirika ya serikali umeacha kutumia dawa nini maana hao ndio wamejaa mdudu wewe sio bure hao wa corporate weekend wanalika zaidi ya hao wa short time amin anakuambia na wanakuwa na msururu maana matajiri kibao wanachukua namba zao
 
makampuni binafsi na mashirika ya serikali umeacha kutumia dawa nini maana hao ndio wamejaa mdudu
Ndio maana unaambiwa kinga ni bora kuliko tiba. Ni bora utulizane, utafute binti ambaye ni bikra mwenye maadili uoe utulie. Starehe hazina mwisho. Na mshahara wa dhambi ni mauti
 
Ndio maana unaambiwa kinga ni bora kuliko tiba. Ni bora utulizane, utafute binti ambaye ni bikra mwenye maadili uoe utulie. Starehe hazina mwisho. Na mshahara wa dhambi ni mauti
Na mshahara wa dhambi ni mauti kijana inamaana unakwepa kifo??????????????
hutakufa????
i uoe utulie. sawa. mpaka kifo kila kitu ni chaguo binadamu ana will power.
sio mbaya umeamua hilo ila kuwa makini kama ni bikra akadhaa na kuja kutaka kupata ladha nyingine au mkagombana atagawa na kukuletea maradhi nyumbani hutaamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…