BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Dunia iko kwenye kasi ya kutisha ya mapunduzi ya sayansi ambapo kwa miaka ya hivi karibuni kasi ya mapinduzi ya Sayansi imekuwa kubwa sana ukilinganisha na kipindi cha nyuma.
Mapinduzi haya yanaweza kuwa na Negatibmve impaxt sana kwa vizazi vijavyo kwa sababu sisi ni wakati mapinduzi yatakapo kuwa kwenye peek huenda tusiwepo au tukawa tusha jichokea.
Kack Mal mwaka 2018 kama sikosei wakato anahutubia mkutano wa Uchumi kule Davos Uswizi alisema hadi kufikia mwaka 2039 nafasi za kazi Million 800 zitakuwa zimechukukiwa na mashine au Roboti.
Speed ya komputa kuchukua nafasi za watu inaendelea kuwa kubwa sana.
Swali ni Je unawaandaa vipi watoto wako ili wasije kujikuta kwenye shida kubwa huko mbele ya safari? Serikali imelala usingizi mkubwa sana lalini vipi wewe Mzazi ambaye unajua fika kuna hatari inakuja?
Kuna mambo machache tunayo weza kufanya sisi wazazi kwa nafasi zetu, bila kungojea Serikali;
SANAA
Kwa tafiti mbali mbali zineonyesha kwamba kila mtu huja Duniani na kipaji chake ila kutokana na mazingira wengine vipaji vyao hupotea na wengine hufanikiwa kuviendelea, utakubaliana na hili, kama mtoto ana kipaji cha kuimba basi shikilia hapo hapo kwenye kuimba, kama ana kipaji cha mpira sisitizia hapo hapo, kama ana kipaji cha kukimbia shikiloa hapo halo, Sisi wengine tulia vipaji vyetu kwa sababu ya wazazi kutusisitizia kusoma zaidi, huenda leo hii tungekuwa mbali mno, Ila kwa sababu sisi tuna jua triend ya Dunia kwa sasa basi tuhakikishe watoto wanaendeleza vipaji vyao.
Inaaminika Sanaa ndo sehemu pekee inayo weza kuokoa vijana wengi na wimbi la sayansi, tusisitizi mno Sanaa kwa watoto wetu wenye vipaji.
KUWASISITIZIA WATOTO WASOME SANA SAYANSI
Sayansi ndo inayo tawala Dunia kwa sasa na ndo inayo tumika kuunda kila kinacho onekana kwa sasa hivyo ni dhahiri watoto wabapaswa kusoma sana masomo ya sayansi kuliko masomo ya arts kama History,
UJASIRIAMALI
Njia nyingine ni kuanza mapema kuwajengea kuwa wajasiriamali wa baadae, tuanze kuwaingizia spirit ya Ujasirimali wangali wadogo sana, kuliko ilivyo sasa ambapo tuna lazimisha Ujasiriamali ukubwani, Kwa sababu ya triend ilivyo na swala la ajira kuja kuwa tata basi ni vizuri watoto waandaliwe sasa kuja kuwa Wafanya biashara wakubwa.
Tusikae tu tunadanganywa na Watoto kuongea Kiingerea cha English Medium, Kiingereza sio akili.

Upvote
1