Nahisi hapo kwa Mariz Roza umechemsha, maana mpaka sasa hatuna uhakika na jinsia yake....!!!
HUJAKOSEA. ngoja nihamie kwako,umejileta mwenyewe.Nahisi hapo kwa Mariz Roza umechemsha, maana mpaka sasa hatuna uhakika na jinsia yake....!!!
HUJAKOSEA. ngoja nihamie kwako,umejileta mwenyewe.
MASAKI: mtu makini,anajua mambo mengi,mstaarabu,mwandishi wa habari,mwenyeji sana wa Dar. Yaani born town au mtoto wa mjini.mwenye busara.
KOBE; anapenda utani,anajifanya hajui kItu kumbe anajua.MJANJA.
HUJAKOSEA. ngoja nihamie kwako,umejileta mwenyewe.
MASAKI: mtu makini,anajua mambo mengi,mstaarabu,mwandishi wa habari,mwenyeji sana wa Dar. Yaani born town au mtoto wa mjini.mwenye busara.
Hee kumbe kuna kunyambuliwa huku? Kwangu umepatia zote isipokuwa kwenye uchaga,uwise na umbo la wastani. Tena nitake radhi kabisa mwenzio Bajaj sipandi ati- nimejaaliwa mwili!! tembo mtoto!
Hee kumbe kuna kunyambuliwa huku? Kwangu umepatia zote isipokuwa kwenye uchaga,uwise na umbo la wastani. Tena nitake radhi kabisa mwenzio Bajaj sipandi ati- nimejaaliwa mwili!! tembo mtoto!
ulijuaje? yaani ni mfupi kuliko maelezo,nikicheza bluzi na patina, patner wangu yeye huishia kunikumbatia kichwa!!!!!!!!!!!!!!!.mhhhhhhhhhhh labda nipande juu ya boxTall is Short
ulijuaje? yaani ni mfupi kuliko maelezo,nikicheza bluzi na patina, patner wangu yeye huishia kunikumbatia kichwa!!!!!!!!!!!!!!!.mhhhhhhhhhhh labda nipande juu ya box
ulijuaje? yaani ni mfupi kuliko maelezo,nikicheza bluzi na patina, patner wangu yeye huishia kunikumbatia kichwa!!!!!!!!!!!!!!!.mhhhhhhhhhhh labda nipande juu ya box
Hahahahah! Hivi bluzi kwenye madisco ya shuleni bado zinapigwa? Duh! Enzi hizo ukibahatika kucheza bluzi na demu kwenye disco la shule basi wewe bonge la mjanja![/QUOTE]
Na mambo yanaharibika.......
Charity Kumbe wewe bado uko single ?
nilikuwa bado kujua