Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
na hisi ana u-sheikh yahaya huyu.......kakupatia saaaaaaana
btw poleni, mimi sikujua mwenzio taarifa nimepata usiku
Tall is Short
Nguli:shyeducatedAnapenda sana familia yakeHelpfull ( very quick to respond to others needs)mwoga
Nahisi hapo kwa Mariz Roza umechemsha, maana mpaka sasa hatuna uhakika na jinsia yake....!!!
Yaani mimi nidiscuss hii . . . ? Tija iko wapi hapa? Chupaku nani kashinda uingereza? Naona Gordon Brown anaelemewa.
Yaani mimi nidiscuss hii . . . ? Tija iko wapi hapa? Chupaku nani kashinda uingereza? Naona Gordon Brown anaelemewa.
Sasa Chupaku unajua tupo kazini huku tunaangalia mambo yanayojiri harafu wewe unatuuliza vitu ez if hatuna kazi. Achana nayo hiyo bwana wewe ikusaidie wewe tu kujua watu kama uko interested. Sisi tunataka kujua hoja ambazo ni elimishi kaka
Acha hizo bana.....Watu wengine bwana....yaani we unataka kila wakati tudiscuss siasa tuuuuuuu.....Usiwe serious kihivyo....Wengine sie hapa ni kijiweni(Kama Baraza la kahawa la Msisiri-Mwananyamala)...Tunajaribu kupeleka mbele muda na kupiga soga.....Ukitaka mambo ya Tija sijui nini nenda Jukwaa husika(Jukwaa la Siasa,Kimataifa,Uchumi,Dini n.k)

1. bht........1.ANAWEZA KUKUPASHA/SHUSHUA BILA KUOGOPA, UKIKOSEA.
2. MTU MWEMA
3.ANAPENDA USHRIKIANO.
2.FLI. 1.INTELIGENT.
2.MWANGALIFU
3.ANAJIHESHIMU.
4. SI MSEMAJI SANA.
5.ANAMPENDA MUNGU
3.MARIA ROZA.1.MREMBO
2.MTU ANAEJALI BINADAMU WENGINE.
3.MCHESHI
4.MJANJA NA MWANGALIFU.
nitandelea baadae kidogo.
Swadaktaaa! saa zingine mudi ya kazi kwishnei, ndo tunakuja hapa kijiweni, tukiwa na nguvu tunahamia kwenye kazi na hoja zenye nguvu.
Charity Kumbe wewe bado uko single ?
nilikuwa bado kujua
I could be wrong but my sixth sense tells me - Maskini_Jeuri is
Family man
Principled
Soft spot for women --or perhaps loves the mother
Intelligent
Labda 28 - 35 years
Urefu wa wastani
Never losses in an argument...
Theodora!
Beautiful; soft spoken na highly intelligent!
Can make a good judge and manager and quite principled!
Ana uwezo wa kushawishi na kwa hoja zenye mvuto na mkali inapokuwa ni kusimamia ukweli ; hapendi kuzunguka !
Napendekeza agombee ubunge au afikirie kuwa raisi wetu baadaye! Nitazunguka nchi nzima kupiga kampeni!