mbuzi wa mshenga
Senior Member
- Oct 28, 2016
- 160
- 173
Hivi wako wapi? Salma Miwanja mcheza mnanda maarufu miaka ya 90 na Isiyaka a.k.a Kwala rumpa mpiga ngoma za mnanda enzi hizo? Kwa anaefawahamu ama kujuwa walipo naomba anijuze tafadhali nina shida nao watu hawa kama bado wapo hai?naimani kwa wakongwe wa miaka hyo wanawafahamu balaa lao na vituko vyao walikua wanaujua mnanda hasa.