Fao La Kujitoa
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 396
- 966
Naandika huu uzi kwa hasira na ghazab ya aina yake.
Unawaibia na kuwadhulumu watu korosho zao tena kwa MAKSUDI na KIBURI na NYODO unaenda kujenga kwenu. Na kusema kwani kwetu siyo Tanzania?
Je na hao uliowaibia na kuwadhulumu korosho kwao ni wapi?
Kilimo na Biashara ya korosho kilikuwa inashamiri kwa maksudi umeivuruga.