Fao La Kujitoa
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 396
- 966
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu. Tafuta pepsi baridi unywe bila glasi ufanye kama unapiga tarumbeta hivi ili kutoa sumu na hasira mwilini.
Pole sana aisee, inaonekana moyo wako ukikatwa hapo ukatolewa nje utakuwa na hasira sana
Ulitaka aibe akajenge kwenu?Naandika huu uzi kwa hasira na ghazab ya aina yake.
Unawaibia na kuwadhulumu watu korosho zao tena kwa MAKSUDI na KIBURI na NYODO unaenda kujenga kwenu. Na kusema kwani kwetu siyo Tanzania?
Je na hao uliowaibia na kuwadhulumu korosho kwao ni wapi?
Kilimo na Biashara ya korosho kilikuwa inashamiri kwa maksudi umeivuruga.
Mwamba kaandika kwa uchungu balaaa, dah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chz wewe dah ila umenifanya nmecheka sana
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwamba kaandika kwa uchungu balaaa, dah!
so kuwa-nyonya wakulima ndo kushamiri kwa soko?!!Naandika huu uzi kwa hasira na ghazab ya aina yake.
Unawaibia na kuwadhulumu watu korosho zao tena kwa MAKSUDI na KIBURI na NYODO unaenda kujenga kwenu. Na kusema kwani kwetu siyo Tanzania?
Je na hao uliowaibia na kuwadhulumu korosho kwao ni wapi?
Kilimo na Biashara ya korosho kilikuwa inashamiri kwa maksudi umeivuruga.
Mmeishiwa sera... Jikazeni!Naandika huu uzi kwa hasira na ghazab ya aina yake.