Nilikua wakala wa buton pay, nikauziwa mashine(printer) na simu kwa ajili ya kufanyia kazi. Baada ya kuitumia kwa mda, simu ikaanza kusumbua, baada ya kumpigia mfanya kazi wa buton pay aliyeniuzia iyo simu akaniambia simu niliyouziwa haikua original na hazifai, nikamwambia basi inabidi wanipe simu original, akaniambia niongeze elfu 70 ili nipatiwe simu nyingine ambayo ni original.
Je ni halali niongeze pesa wakati upumbavu ni wao? Wao kama kampuni kwanini waliniuzia simu feki?
Naona hii kampuni ni ya kitapeli.