Unawajua madada bunga?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Katika taasisi za vyuo na sekondari za wavulana huwa kuna vijiji jirani ambavyo hupakana na vyuo hivi.

Kwenye vijiji huwa kuna msichana mmoja anakuwaga malaya sana kiasi cha kutembea na wavulana au karibu wanachuo wa bweni zima huo anaitwa dada bunga.

Ukienda Kigurunyembe TTC kuna kijiji kinaitwa Mtaa wa pili pale kulikuwa na dada bunga, ukienda Mpwapwa TTC kuna kijiji kinaitwa Mwanakianga pale pia kulikuwa na madada bunga, ukienda Korogwe kuna kijiji kinaitwa Masuguru pia wapo.

Je, unawajua madada bunga?
 
Sawa Mr. Ticha tumekusikia, tumia vizuri hivyo vyeti sasa kuombea ajira mmeongezewa muda ujue ohooo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…