Unawajua watu wenye personality ya phlegmatic?

The Intelligent

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
2,459
Reaction score
824
Kama nlivyoeleza hapo juu, kama unaijua vizuri hiyo trait, naomba ueleze wapo vipi ktk mahusiano yao na watu wengine na mfumo mzima wa maisha yao, mitandao mingi ya kisaikolojia inawaelezea kwa namna tofauti watu wenye hiyo tabia kiasi cha kuonekana wanapingana,
Yeyote anaijua kuhusu hiyo personality trait, naomba afunguke, aseme watu wenye hiyo tabia wapoje.
Naomba mtu asiweke title yoyote kutoka kwenye website za kiingereza.
 
Wakuu nimejaribu kupitia mitandao tofauti ya saikolojia, kuangalia kuhusu watu wenye tabia ya phlegatic, wapo wanaosema kuwa phlegmatic ni wabinafsi, na watu wasiopenda kuchanganyika na watu, wanapenda kuwa peke yao muda mwingi, lakini wengine wanasema phlegmatic anakua na marafiki wengi nk.

Sasa hapo nkachanganyikiwa nisijue nani mkweli, kwahyo kama unaijua vizuri hii trait, naomba uilezee hasa uhusiano wake na watu.

Nawasilisha.
 

Ukitaka kuzielewa vizuri zisome hizo traits zote nne kisha ufanye comparison, nijuavyo mimi mwenye uwezo wa kuwa na marafiki wengi ni sanguine.
 

Angalia hapa utapata jibu
Phlegmatic Personality Traits


People with phlegmatic personality are unassuming, agreeable and intuitive and they possess the ability of "web thinking", i.e. to see the relationship between many bits of data they collect.
Phlegmatic Skills

They have a wonderful skill to gather the facts, classify them into categories, and then see the relationship between seemingly contradicting elements. Basically, it is the ability to read between the lines. These men and women don't do very well at memorizing separate unrelated facts, they grow bored and annoyed and to be excited by the process, they need to be able to generalize.
It's all about the estrogen!

Phlegmatic personality traits are linked to estrogen, which is present in both men and women. However, phlegmatic people are predominantly females. The two hemispheres of the brain are connected by millions of nerve fibers, and estrogen builds more nerve connections between the remote areas within each hemisphere, in turn, this assists the ability of "seeing a bigger picture" or "web thinking".
TAKE A FREE PERSONALITY TEST- These people are imaginative – they like to think abstractly about the things that only can be imagined. For example, they will try to read your body language and tell you what you were thinking from your half smile.- The Phlegmatic person will want to know other people's deepest feelings and strive to build intimate attachments with about everyone in their lives. They are interested in cooperation and interpersonal harmony, and this is why they preserve their family ties and friendships. When there is a conflict, they seek to agree, to satisfy the needs of everyone involved.
- These men and women are very empathetic and compassionate. They try to understand what the other person is thinking and feeling, then to respond accordingly, which allows them to connect with that person. Moreover, people with phlegmatic personality are agreeable.
- They could be described as cooperative, considerate, charitable, sympathetic, trusting and warm. They like to express their feelings, sometimes dramatizing their experience (another evidence of high estrogen activity).
- Phlegmatic men and women seek to contribute to society at large. They strive to fight cancer, donate to orphanages and help the poor and more than that, they also strive to a greater self-knowledge which they see as a must.
 
Ukitaka kuzielewa vizuri zisome hizo traits zote nne kisha ufanye comparison, nijuavyo mimi mwenye uwezo wa kuwa na marafiki wengi ni sanguine.

Traits zote nimezisoma, nkafanya comparison nkaona phlegmatic ni mtu mbinafsi, asiyependa kuwashirikisha watu ktk mambo anayofanya, ni msiri sana, mbishi, dharau, mkali kiasi nk.
 

nadhani pisces wengi watakuwa na trait hii!
 
Traits zote nimezisoma, nkafanya comparison nkaona phlegmatic ni mtu mbinafsi, asiyependa kuwashirikisha watu ktk mambo anayofanya, ni msiri sana, mbishi, dharau, mkali kiasi nk.

akiwa katika mazingira hatarishi kwa tabia zake ndio anageuka hivyo kujenga defensive mechanism ingawa huwa ni artificial behaviours ambazo hupata shida kuzihandle in a long run.
 
akiwa katika mazingira hatarishi kwa tabia zake ndio anageuka hivyo kujenga defensive mechanism ingawa huwa ni artificial behaviours ambazo hupata shida kuzihandle in a long run.

Sasa mkuu, wewe kiujumla unamuona phlegmatic ni mtu mwenye tabia za namna gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…