unawakumbuka aki na ukwa?

unawakumbuka aki na ukwa?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
hawa watoto ni wacheza filamu wa kinigeria,nimeanza kuwaona kwenye tasnia hii kwa kipindi kirefu sasa hata zaidi ya miaka kumi na tano.ajabu ni kwamba taswira na muonekano wao haubadiliki,hawakui na wana lafudhi ya kitoto,ni utaalam unatumika au ndivyo walivyo?
 
Hahahhhaa eti watoto!!! Mpwa ni watu na "mikwaju" yao ya maana sana, ukiwakuta na wachumba wao utashangaa sana!!
 
mbegu kama ya aki na ukwa sijawahi kubahatika kuona hapa kwetu tz sijui wapo?
 
Nimesikia kwamba mmoja kati yao amefariki
 
Back
Top Bottom