Cheupe alikuwa Ndovu ya Arusha,Amri Aziz na Hasani Wembe Walikuwa Malindi..Bambo Mlandege...Sikumbuki vzr kama hawa wachezaji walikuwa ni wa Malindi au Mlandege ya Zanzibar, ila nakumbuka miaka ya 90s nikiwa mdogo nilikua nikisia balaa lao.
1. Victor Bambo (Shujaa)
2. Hassan Wembe
3. Amri Aziz
4. Muhidini Cheupe
Yaani japo ilikua ni Redioni ila walikua ni shida!
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheupe alikuwa Ndovu ya Arusha,Amri Aziz na Hasani Wembe Walikuwa Malindi..Bambo Mlandege...
Sikumbuki vzr kama hawa wachezaji walikuwa ni wa Malindi au Mlandege ya Zanzibar, ila nakumbuka miaka ya 90s nikiwa mdogo nilikua nikisia balaa lao.
1. Victor Bambo (Shujaa)
2. Hassan Wembe
3. Amri Aziz
4. Muhidini Cheupe
Yaani japo ilikua ni Redioni ila walikua ni shida!
Sent using Jamii Forums mobile app
Victor Bambo, Hassan Wembe na Amri Azizi ni Wazanzibari wakichezea vilabu vya Malindi na Miembeni vya kule Unguja. Walikua ni wachezaji wa wa kiwango cha kuridhishaSesten Zakazaka njoo utupe ABC mana natumai unawajua hawa wachezaji.
V
Victor Bambo, Hassan Wembe na Amri Azizi ni Wazanzibari wakichezea vilabu vya Malindi na Miembeni vya kule Unguja. Walikua ni wachezaji wa wa kiwango cha kuridhisha
Muhidin Cheupe alichezea AFC ya Arusha wakati huo na yeye alikua vizuri pia Shadeeya
Aamin, aamin. Shukran mkuu Slim, tubarikiwe sote pamoja na wewe
Victor Bambo alicheza hata Yanga vizuri tu. Mmewasahau kina Rifat Said mlinda mlango nadhani alikipiga sana Malindi kama sikosei baadae Yanga, pia kuna Ali Bushiri huyu alikuwa mlinda mlango wa mlandege kama sikosei. Wapi Abert Sengo? Alikipiga hadi ujerumani sijui ligi daraja la pili au tatu vile?!V
Victor Bambo, Hassan Wembe na Amri Azizi ni Wazanzibari wakichezea vilabu vya Malindi na Miembeni vya kule Unguja. Walikua ni wachezaji wa wa kiwango cha kuridhisha
Muhidin Cheupe alichezea AFC ya Arusha wakati huo na yeye alikua vizuri pia Shadeeya
Ni kweli Rifat Said alichezea Yanga akiwa golikipa wa kutegemewa. Alikuja kupata mtihani wa ugonjwa wa macho na kupofuka kabisa. Hakuwahi kuona tena hadi mauti yalipomkuta. Mungu Amrehemu na amfanyie wepesi hesabu yakeVictor Bambo alicheza hata Yanga vizuri tu. Mmewasahau kina Rifat Said mlinda mlango nadhani alikipiga sana Malindi kama sikosei baadae Yanga, pia kuna Ali Bushiri huyu alikuwa mlinda mlango wa mlandege kama sikosei. Wapi Abert Sengo? Alikipiga hadi ujerumani sijui ligi daraja la pili au tatu vile?!
Sikumbuki vzr kama hawa wachezaji walikuwa ni wa Malindi au Mlandege ya Zanzibar, ila nakumbuka miaka ya 90s nikiwa mdogo nilikua nikisia balaa lao.
1. Victor Bambo (Shujaa)
2. Hassan Wembe
3. Amri Aziz
4. Muhidini Cheupe
Yaani japo ilikua ni Redioni ila walikua ni shida!
Sent using Jamii Forums mobile app
Inno Haule pia aliwahi kuchezea Majimaji ya Songea na Simba Sports
V
Victor Bambo, Hassan Wembe na Amri Azizi ni Wazanzibari wakichezea vilabu vya Malindi na Miembeni vya kule Unguja. Walikua ni wachezaji wa wa kiwango cha kuridhisha
Muhidin Cheupe alichezea AFC ya Arusha wakati huo na yeye alikua vizuri pia Shadeeya
Marehemu Twaha Hamidu "Noriega" alikua beki wa kulia wa kupanda na kushuka wa wana MsimbaziMkuu vpi kuhusu Twaha Amidu alichezea vilabu gani? Nae nilikua namsikia sn enzi hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Itapendeza pia km utakitaja kikosi cha Malindi kilichokua na Lunyamila kilichomchapa Simba goli 5 km sjakosea kwenye kombe la MuunganoMarehemu Twaha Hamidu "Noriega" alikua beki wa kulia wa kupanda na kushuka wa wana Msimbazi