wana JF naomba msaada tutani kwa aliye na data za wasanii na makundi haya yalipo kwa sasa au walipo hawa jamaa.
The Diplomatiz,
Afro Reign,
Bantu Pound Gangster
Dar Young Mob,
Weusi Wagumu Asilia
KU
D rob sasa ni marehemu RIP
Ramson sasa nadhani ni mwanaharakati na nyabingi rastaman alikuwa akipatikana Iringa zaidi kilimo na mambo ya NGO
Easy B aka Bernard Luanda sasa ni nyapara kule segerea kwani unga umemharibu mbaya.
Fresh G sijamsikiaa
Dezy niga huyu yuko
Eazy B yupo jela kwa saana tu, madawa yamemuharibu
Weusi Wagumu Asilia (wapo na wanatamba na wimbo wao mpya unaitwa 'BADO TUPO'. jamaa yao mmoja anaitwa Rico Star bado yupo ktk muziki ila anaimba zaidi ya kurap.
wana JF naomba msaada tutani kwa aliye na data za wasanii na makundi haya yalipo kwa sasa au walipo hawa jamaa.
The Diplomatiz,
Afro Reign,
Bantu Pound Gangster
Dar Young Mob,
Weusi Wagumu Asilia
diplomatz ni lipo kama halipo!!!sygon yupo bongo baada ya kupigwa bomba uingereza anafanya mziki kama solo!wenzake balozi dola soul na stigo wapo viwanjani!!.......bantu pound ni kama imekufa kwani mwanamuziki pekee anayesikika ni soggy doggy hunter ambaye yupo na vinega!hao afro reign mara ya mwisho kusikia ni bonny harmony katika ngoma ya saa za kazi akiwa na hasheem dogo sijui wamepotelea wapi!mdau aliyesema abubakar sadik alikuwa afro reign atambue kipindi hiko afro reign inatamba abubakar sadik alikuwa hajulikani na dar es salaam alikuwa anaisikia katika bomba au mpaka likizo ndefu aje kusalimia ndugu!
Bantu pound ambae anasikika ni Soggy yupo Iringa anatangaza kwenye redio inaitwa Ebony Fm ila huwezi amini hana hata track 1 ya Bantu Pound kwenye libraly yake niliwahi kumuomba hakasema hana eti nikizipata nimpe na yeye haaaahaa.