Unawakumbuka nguli hawa wa soka?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,248
Reaction score
13,244
Miaka ya nyuma hawa jamaa walokuwa balaa kiwanjani wakilisakata gozi la ng'ombe,kwa uchache (waweza ongezea):
Ubwa Makame 'Mzungu'
Leonard William
Juma Mkambi 'Jenerali'
MohamedBakari 'Tall'
Athumani Juma 'Chama' Jogoo
Zamoyon Mogella 'Golden Boy'
Hussein Mwakuruzo
Beya Simba
Jella Mtagwa
Innocent Haule
Celestine 'Sikinde' Mbunga
Hamis Gaga 'Gagarino'
Hussein Marsha
Athumani China
John Makelele 'Ziggy Zaggy'
Juma Pondamali 'Mensah'
Charles Boniface Mkwasa 'Master'
Razak Yusuph 'Careca'
Edibilly Lunyamila
Frank Kassanga Bwalya
Kitwana Manara
Nk nk nk....,ilikuwa hatari tupu.
 
Reactions: 3D.
Watu wanaweza wasimalize hapa Listi. Pan African, Bakari Malima "Jembe Ulaya" Thomas Marshala. Simba ndio sitomaliza bora niache.
 
Athuman Mambosasa, George Magere Masatu.
 
Omari Hussein-Kevin Keagan! Sam Kampambe! Denis Mdoe!
 
Musimsahau Hussein Tindwa, aliekufa kiwanjani siku simba ilipocheza na Raccah Rovers ya Nigeria, hapo ilikuwa baada ya Simba kuipiga Mufulira Wandereres goli tano bila, kumbuka mechi ya mwanza iliochezwa uwanja wa taifa simba ilipigwa nne bila, huo ulikuwa ni mwaka 1978 sijui wangapi wanakumbuka hii
 
damian kimti, kasongo athumani, issa athumani, mwanamtwa kihwelo, eric sagala, often martin, madundo mtambo, lila shomari, kitwana manara (komputer) abuu jumaa, makumbi juma (homa ya jiji)
 
Omar Mahadhi

Shabani Baraza
mohamedi kajole

Hassan Gobos
Omar Zimbwe

Aluu Ally
Willie Mwaijibe

Sunday Manara
Gibson Sembuli

Abdallah Kibadeni
Maulidi Dilunga
 

Hapo mbele alikuwapo Tuweni Ally na Saadi Ally
 
CDA Watoto wa Nyumbani
Mkala Maulidi (golini), Yusuf Ambwene (alivunjwaga mguu na Ahmed Amasha), Jumanne Chale, Charles Sulemani, Selemani Abeid (Mkoba), Charles Mngodo, Eric Sagala, Denis Saigulan, Justine Simfukwe (Mawazo Nelson).
 
Malota Soma 'Ball Juggler'

Hassan Afif 'Contractor'?

Damian Kimti
 
Pamba FC (1980s)
Juma Mhina, Yusuf Bana, Abdallah Bori, Athuman Juma Chama, Ibrahim Magongo, John Mwakatika (Mzee Upara), Isaack Mwakatika, James Ng'ong'a (Mzee Mzima) Edward Hiza, Khalid Bitebo Zembwela, Abuu Juma,Beya Simba

Pamba FC (TP Lindanda Wana Kawekamo)
Madata Lubigisa, George Masatu, Husen Masha,Mao Mkami,Mkama Ntare,Kitwana Selemani,John Makelele,Msonga Rashid
 
@ Tongoni umenikumbusha Marehemu (R.I.P) Gibson Sembuli, maana kuna wimbo walimwimbia sina uhakika sn kama ni Marijani au Mbaraka mwinshehe
 
Bila kusahau goli la malota soma dhidi ya kanka wemba(atletico aviacao)..na 1986 goli la aboubary salum 'sure boy' dhidi ya hamid breima wa el mereikh..zamani kulikuwa na wachezaji duh!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…