<br />Edward Chumila, Fikiri Magoso, Omari Hussein.........JAMANI ZAMANI KULIKUWA NA WACHEZAJ KWELI KWELI
Umenikumbusha mbali,aah Tom Tohoye.Mbona mmewasahau Tomas Tohoye(TT) na Rajabu Rashid(Msingida)?nadhani wote ni wazenji kama sikosei maana walikuwa wanachezea Miembeni ya Zanzibar.Miaka hiyo ligi ya muungano ilikuwa noma. pia kulikuwa na kina Edgar Fongo,Victor Mkanwa,Yasin Napili etc. Sio siku hizi eti kuna timu inaitwa wana tam tam,lamba lamba,wana kishamapendo n.k.