Unawakumbuka walioimba USA for Africa?

Usa for africa
tina turner
bruce s
lionel r
stivie w
kina joko sijui 6
.
.
.
Kenny r
mick jagger

mfano bora kwa wasanii wa kwetu, kufanikisha jambo kubwa na kubadilisha mtazamo hasi kwenye jamii.
 
Usa for africa
tina turner
bruce s
lionel r
stivie w
kina joko sijui 6
.
.
.
Kenny r
mick jagger

mfano bora kwa wasanii wa kwetu, kufanikisha jambo kubwa na kubadilisha mtazamo hasi kwenye jamii.

Pamoja na:
Dionne Warwick
Billy Joel
Paul Simon
Diana Ross....
 
Kosa kubwa sana mnafanya bila kumuweka Bruce Springsteen. Ni yule anayeimba kwa sauti yenye kishindo. Kuna mahali anapokezana na Stevie Wonder na Cyndi Lauper
 
Wale jamaa ni wakali balaa. Sijapata kuona na kusikia wimbo Mkali kama huu tangu nizaliwe.
 
Ray charles,cyndie lauper,michael jackson,willie nelson,diana ross,kenny roggers,kenny loggins ,the jackson,bruce springsteen,stevie wonder dah hao ndio baadhi walihousika
 
Wimbo ambao sikutegemea uwe mbaya hata kidogo Michael Cindy k.rogers Lionel na Diana afuwimbo unaharibikia wapi?utasikilizwa na vizazi vingi sana vijavyo.
 
Wakali wa Enzi hizo Kumbe Ray Charles alikuwepo humo? Cindy Luper ndio kale kabinti keupe kama karatasi kadogo.
 
28th January 1985
~~~~~~~~~~~~~
The stars who sang solos were, in order, Lionel
Richie, Stevie Wonder, Paul Simon, Kenny
Rogers, James Ingram, Billy Joel, Tina Turner,
Michael Jackson, Diana Ross, Dionne Warwick,
Willie Nelson, Al Jarreau, Bruce Springsteen,
Kenny Logins, Steve Perry, Daryl Hall, Michael
Jackson (again), Huey Lewis, Cyndi Lauper, and
Kim Carnes. Bob Dylan and Ray Charles were
also featured on the song and given close-ups in
the video. Singers in the chorus who did not get
solos include Belafonte, Bette Midler, Smokey
Robinson, The Pointer Sisters, LaToya Jackson,
Bob Geldof, Sheila E., and Waylon Jennings.
 

sijazaliwa
 

Big Up mkuu! Umemaliza kila kitu.
 
Wimbo huu umeandikwa na Lionel Richie na MJ kama Philantophist mkuu alileta wazo.
Richie mzee wa mustach aka mfuniko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…