Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Mapenzi bna!
Unaishi na mtu, usiku anaamka kufanya maombi apate mke/ mume. Kumbe yupo single.
Ila wewe unadhani ni mwenzio!
Unaishi na mtu, usiku anaamka kufanya maombi apate mke/ mume. Kumbe yupo single.
Ila wewe unadhani ni mwenzio!