mbasa ya konge
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 207
- 481
Kuja kuamishiwa mkopo nadhan itakua mwakani,labda uende na fees yako ukalipe af ukihamishiwa utaiclaimNilichaguliwa vyuo viwili UDOM na Mzumbe University lakini nilikofemu kwenda Mzumbe nikijua nitapata mkopo wa kutosha kutoka bodi lakini nipewa mikopo mdogo sana.
Wanajukwaa kuna uwezekano wa kubadili chuo niende udom ambapo tution fees ni ndogo.
Kongolee mkuu uko vizurInawezekana kuama chuo ndio! Ila kunakuwa na muda Maalumu ambao utatolewa na TCU, unachotikiwa kuwa nacho ni admission letter kutoka kwenye chuo ulichochaguliwa( mzumbe) upeleke moja kwa moja kwenda kwenye chuo unachohitaji bro!
Kuhusu mkopo!
Boom utaanza kupata awamu ya Pili! Ila hii ya kwanza huwezi kupata! Jiandae kwa kupambana Ila mwezi wa kwanza utapewa pesa yote ambayo ni one million..
Kuhusu Ada, inategemea na kozi unayoamia! Huenda ukaongezewa Ada au ukapunguziwa au ukokasa kabisa.
Mwisho Jitahidi Sana kwenda na muda! Mana ikipita imepita hairudi Tena..
Niite kijana, mpambanaji [emoji120]
Kuja kupata mkopo ni mpk second year kam mpunga upo ni wew tuNilichaguliwa vyuo viwili UDOM na Mzumbe University lakini nilikofemu kwenda Mzumbe nikijua nitapata mkopo wa kutosha kutoka bodi lakini nipewa mikopo mdogo sana .
Wanajukwaa kuna uwezekano wa kubadili chuo niende udom ambapo tution fees ni ndogo.