Unaweza fikiri ni wanachuo wanajiandaa na mitihani...

Hawa hawana tofauti na wale wanaoshinda kwa mwamposa.

Kuna namna ubongo una kasoro fulani, kunafanya watu tupende sana miujiza.

Niambie mtu anayeamini 500 itampa milioni bila jasho ana tofauti gani na yule anayeamini akifa atapew wake 72 bure?

Aisee tujifunze kudhibiti hisia zetu usije weka imani yako panapokuumiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…