unaweza fungua bar/kuuza pombe na usiwe mnywaji

Moneyowner

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,423
Reaction score
1,252
Hii biashara inalipa sana, sema wamiliki walio wengi nao lazima wanaoja.
Je kwa mtu asiyetumia pombe hii biashara ni rafiki kweli? Kozi nimeona wengi sana ambao hawakuwa walevi ila wakianza hii business wanakuwa wanywaji pia.
 
Inawezekana usiwe mlevi ila manager wako anakua mlevi...anaenda bar nyingine kuiba wateja huko lazima anywe pombe
 
Wenye ma bar huku wao sio wanywaji ni sababu ya masharti ya waganga/uchawi,kwa bar ninazojua lkn.
 
Hii biashara inalipa sana, sema wamiliki walio wengi nao lazima wanaoja.
Je kwa mtu asiyetumia pombe hii biashara ni rafiki kweli? Kozi nimeona wengi sana ambao hawakuwa walevi ila wakianza hii business wanakuwa wanywaji pia.
Ni sawa na kuuza chakula halafu usiwe mlaji

Jr[emoji769]
 
Labda uuze pombe za viwandani kama safari, balimi, kitoko, burdani, vodka, konyagi, lite with bite n.k
Lakini kama utauza za kienyeji kama mbege, boha, ulanzi, mnazi, kangara, wanzuki, libeneke na gongo my friend lazma utakua mlevi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…