Unaweza Kuandika Diary Ya Maisha Yako?

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Hello JF users.
Huwa nafikiria sana kuhusu background yangu na navuta picha Ila nachoambulia ni tarehe ya kuzaliwa tu..

Yaani kiufupi matukio niliyowahi kuyafanya nikiwa mdogo huwa siyakumbuki hata chembe..

Huwa mpaka natamani kuandika diary ya maisha yangu ili nisisahau Ila nashindwa kuitunza inapotea mara kwa mara.
Nahofia nitakapo kuwa mtu mzima ntakosa cha kuwasimulia wanangu juu ya maisha yangu.

Lakini naogopa kuandika diary for instance umempoteza mpendwa wako utaandika kwenye diary "she/he was no longer with us"itakuwa inakukumbusha machungu..

I don't remember my background
Nahisi Diary ingenisaidia kutunza kumbukumbu Ila naogopa kuandika!

Je wewe uliweza kuandika najua wengi wetu hazikudumu unahisi ni kwanini?
 
Ndio naweza tena kichwa Cha habari nitakiandika "HAYA NDO MAISHA YA KIKOMBA MBOGA".
 
Sasa hataulikotoka sijui ndio bakigraundi hujui!!kiufupi hata dayari yako hutajua cha kuwekamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…