Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 896
mpaka unatafuta wenza mitandaoni...lazma huto mtu ana matatizo fulani!
Hahaha hakuna matatizo ktk hilo,basi hao wanaojifanya wanamjua sana Mungu kwa kuzuga wanakwenda misikiti/makanisani ndio wana siri za ajabu ajabu ndio maana wanakimbilia ktk nyumba za ibada kuficha machafu yao. Da Shosti mtu akikutokea toka naye.mpaka unatafuta wenza mitandaoni...lazma huto mtu ana matatizo fulani!
unaguna nini sasa...mhhhhhhhhhhhhh
mhhhh kazi wanayo...mie nshawahiwa uzuri wenyeweHahaha hakuna matatizo ktk hilo,basi hao wanaojifanya wanamjua sana Mungu kwa kuzuga wanakwenda misikiti/makanisani ndio wana siri za ajabu ajabu ndio maana wanakimbilia ktk nyumba za ibada kuficha machafu yao. Da Shosti mtu akikutokea toka naye.
unaguna nini sasa...
hongera yako.ila ukiachwa au mzee akifa,akijitokeza mtu kwa kutumia njia hiyo wala usihofu.mhhhh kazi wanayo...mie nshawahiwa uzuri wenyewe
haachwi mtu hapa...mwanamke kujiamini!hongera yako.ila ukiachwa au mzee akifa,akijitokeza mtu kwa kutumia njia hiyo wala usihofu.
hahahahahhaahah hilo jina jipya ulilonibatiza kazi ipo...sikuwa najua jamani kumbeeenhe!ina maana we hujui hata hapa jf kuna ndoa zinafungwa?
umbea wote huo na unapitwa na news????/lol
Wana JF.
Uhusiano wa kimapenzi ndio ambao huzaa ndoa baadae.
Lakini vijana wengi sana wamekuwa hawajui ni sehemu gani sahihi ya kumpata mweza wa kweli.
Hili limekuwa ni swali gumu ambalo wengi wamekuwa wakijiuliza pasipo kupata majibu. Kutokana na utandawazi uliyopo hivi sasa, pamoja na matumizi yasio sahihi ya utandawazi yanafanywa hivi sasa.
Wengi wamejikuta wakipata wenza wasio sahihi na wapo waliopata wenza sahihi kupitia mitandao ya kijamii, hivi ni sahihi kuanzisha uhusiano na mtu uliyekutana naye katika mitandao ya kijamii?
Wadau tujadili hii
Eti kwa nini usiweke sura yako ama kitu kingine,unaweka sura ya mtu inakuwaje,hasa huyo Denzel Washington.