Unaweza kuanzisha uhusino kwenye mitandao ya kijamii?

Mahusiano ya kweli hayachagui sehemu, Tatizo ni uvumilivu kwa wahusika.
 
jamani mliokutana kupitia humu mmu mwageni data basi,hasa flan we flan najua unasoma hii thread hii embu mwaga mauzoefu yako,umesikia?
 
TAFADHALINI SOMENI KWA MAKINI.
Ninafanya kazi na binti wa miaka ishirini na nane na mimi nina miaka hamsini.
Pamoja na kuwa yeye ni secretary lakini mimi nina uzoefu mkubwa zaidi katika computer na mtandao na nilimsaidia kufungua account ya facebook.

Ameweza kupata marafiki wengi na mpaka ku create group la kabila lake na schoolmates.
Nilimuonya sana kuhusu hatari za mtandao lakini siku zilivokwenda nahisi amekuwa addict.Yuko radhi kufungua desktop na laptop ili awe anafanza kazi hapohapo ana chat.
Anapenda sana kuweka picha zake kila mara.

Dalili mbaya nimeanza kuziona hasa baada za kuwa na skype kwani anapigiwa simu na hata watu walio nje za nchi na nahisi ameshiangia hata katika phone sex.Anahamisha laptop kwenda chumba kingine na ukitikea anakata simu.
Juzi nilimuuliza kuwa ikiwa mtu anayecaht nae akija atafanya nini?Jibu lake ni kuwa atampokea na atamtafutia chumba hotelini.
Swali la pili lilikuwa ikiwa bwana huyu atakuja na bag lenye zawadi atazipokea?Jibu lillikuwa ni "ndiyo nitazipokea ila hatalala kwangu:
Nikamuuliza tena "mtu ambaye mmeongea mpaka ngono kwenye simu na leo kaja na zawadi toka ulaya,utamkwepa kweli?"hapo alikaa kimya.

Ninachotaka kueleza ni kuwa hatari za mitandao za kijamii katika mapenzi zimeelezwa sana ila kwa ulimbukeni wetu tunashindwa kuelewa kuwa wakati mwingine unahatarisha maisha yako kwa kiwango kikubwa.
CHUKUENI tahadhari wanangu.
 
Hahaha hakuna matatizo ktk hilo,basi hao wanaojifanya wanamjua sana Mungu kwa kuzuga wanakwenda misikiti/makanisani ndio wana siri za ajabu ajabu ndio maana wanakimbilia ktk nyumba za ibada.

makanisani mpaka wadada wasio na maadili nao ndio wanazuka huko maana washajua wanaume wanaenda tafuta wachumba huko
zile siti za nyuma nyuma, utaona walioenda kutega walivyo wanapapasa macho huku na kule
 

Mkuu, nakubaliana sana na maneno yako yana ukweli mwingi.
Kwa lugha nyingine unaweza kusema wanaweke wamekuwa mateja wa mitandao ya kijamii
 
 
Mpendwa NasDaz,
Nimekuwa humu kwa muda kidogo na napenda kutembelea jukwaa la siasa,teknologia na habari mchanganyiko.
Mapenzi yanachukuwa sehemu kubwa sana za mawazo ya binadamu na wakati mwingine tunatembelea humu ili kutoa nasaha.
Yanazomkuta kijana aliye na umri wa miaka ishirini na tano yalinikuta mimi nikiwa naanza kazi na naamini naweza ku share uzoefu wangu nanyi.
tumieni lugha za stara na mtapata wachangiaji wengi wazuri tu,si wa kusoma kitabuni bali waliopata uzoefu.Siku njema.
 
(Eti kwa nini usiweke sura yako ama kitu kingine,unaweka sura ya mtu inakuwaje,hasa huyo Denzel Washington.)[/QUOTE]



jf kubigwa,endapo watu wataweka sura zao hapo itakuwa ni kutukanana pengine hata kutongozana kulingana na tamaa,.
 
Mbona kitu cha kawaida, ni kuwa makini na kujua unataka kitu gani
 
Kwa maoni yangu sioni tatizo la watu kukutana mtandaoni na kuamua kuwa Wapenzi, lakini inabidi kuwa makini sana.
 
naitwa derick niko bkb natafuta mpenzi wa kuwa 2nachat nitafte kwa kutumia 255785764488
 
naitwa derick kasim natafuta mpenzi kuanzi miaka 18-21 nitafute kwa kutumia 255785764488 kwenye cm au facebook
 
Mbona hata disco au strip club mnaweza kukutana tu haina shida kitakachomata baada ya hapo kwenye mazungumzo na mienendo je mtahisi mna match ?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…