Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
huogopi hela za matambiko?Kama zimewekwa unaweza kuchukua...
Kwani mizimu inatumia pesa? Sipajui tuu hapo ningepata mtaji wa chipsihuogopi hela za matambiko?
Wapi pameandikwa ni hela za matambiko?huogopi hela za matambiko?
hata kama hapajaandikwa hayo mazingira mkuu yanaonekana tu.
mkuu hiyo ni south africa na hela ni za huko kwa madibaMbona haujatoa location ya hilo eneo sasa
zamani ningeweza kuchukua, ila siku hizi nimekuwa muogamuoga
NABEBA SIACHI HATA MOJA MKUU