Hamad yusuph
Member
- Mar 21, 2024
- 45
- 33
Hivi unaweza kweli kumuumiza mtu mpendae kwel. Yaani kumfnyia vtendo ambavyo havistahili kufnyiwa, km MPIGA BILA KOSA or kuuingza mwanmke mwengine akat yeye yupo?
PIA kutokujal hisia zake juuu yako kam kuwa naye pamoja nyakat za NDOA?
PIA kutokujal hisia zake juuu yako kam kuwa naye pamoja nyakat za NDOA?