U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,423 Jul 18, 2011 Thread starter #21 Magulumangu said: Sijui Mhindi kasikia Uporoto1 kamwaga hapa kamtupa mwenyewe? maana haonekani tena...mwenye kujua alipo atoe taarifa jamni... Click to expand... nipo mkuu,mimi ningempeleka mtoto kwa ndugu zangu na kuendelea kuishi naye lakini mtoto siwezi kuwa na amani akiwepo hapo.
Magulumangu said: Sijui Mhindi kasikia Uporoto1 kamwaga hapa kamtupa mwenyewe? maana haonekani tena...mwenye kujua alipo atoe taarifa jamni... Click to expand... nipo mkuu,mimi ningempeleka mtoto kwa ndugu zangu na kuendelea kuishi naye lakini mtoto siwezi kuwa na amani akiwepo hapo.
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,598 Jul 18, 2011 #22 Majority wanakubaliana na Mhindi. Kweli JF ni forum ya Great thinkers. Big Up!
Magulumangu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 3,051 Reaction score 461 Jul 18, 2011 #23 uporoto01 said: nipo mkuu,mimi ningempeleka mtoto kwa ndugu zangu na kuendelea kuishi naye lakini mtoto siwezi kuwa na amani akiwepo hapo. Click to expand... Nimehema mpwa maana nilianza kuingiwa na wasiwasi mzee.....lkn Wahindi bwana achana nao wale...pia wanaamani za kichawi wale kupata utajiri..mazezeta kwa wahindi mengi acha..pia na hilo lifikilie mzee..
uporoto01 said: nipo mkuu,mimi ningempeleka mtoto kwa ndugu zangu na kuendelea kuishi naye lakini mtoto siwezi kuwa na amani akiwepo hapo. Click to expand... Nimehema mpwa maana nilianza kuingiwa na wasiwasi mzee.....lkn Wahindi bwana achana nao wale...pia wanaamani za kichawi wale kupata utajiri..mazezeta kwa wahindi mengi acha..pia na hilo lifikilie mzee..