mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Nipo tayari kufa kwa ajili ❤️❤️❤️ ya BIBI yangu tuNimekua nikiangalia sana muvi na kizungu na nimeona sehemu nyingi mtu anajitoa kufa kwa ajili ya anayempenda(kupigwa risasi badala ya mwingine n.k)
Sasa natafakari sipati majibu kwasababu tunajua kwamba binadamu unaishi mara moja tu, hivo hamna cha muhimu zaidi ya uhai wako binafsi.....
Lakini nikifikiria wale ninaowapenda haswa mama yangu mzazi, ambaye kiukweli amejitoa sana kwa ajili yangu, naona kama sielewielewi[emoji23]
Tuambizane je uko tayari kufa kwa ajili ya umpendae? Sio lazima mpenzi, hata wazazi, ndugu au marafiki wa karibu....
Bibi yupi....Nipo tayari kufa kwa ajili [emoji3590][emoji3590][emoji3590] ya BIBI yangu tu
Aliyenilea mzaa mamaBibi yupi....
Kwanini broAliyenilea mzaa mama
Ni story ndefu sana ila nampenda kuliko mtu mwingine yoyote duniani amenisaidia sana kwenye nyakati ngumu walahi kama sio yeye leo hii ningekuwa naokota makopo sokoniKwanini bro
hahahahahah mkuu sio huelewi elewi sema huwezi.Lakini nikifikiria wale ninaowapenda haswa mama yangu mzazi, ambaye kiukweli amejitoa sana kwa ajili yangu, naona kama sielewielewi
Ila kweli....nahisi unatakiwa ukubali kufa kwa ajili ya yule ambaye na yeye yuko tayari kufa kwa ajili yako......Ni story ndefu sana ila nampenda kuliko mtu mwingine yoyote duniani amenisaidia sana kwenye nyakati ngumu walahi kama sio yeye leo hii ningekuwa naokota makopo sokoni
Mungu azidi kumbariki tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Exactly nafsi zetu zimeungana sana yaaniIla kweli....nahisi unatakiwa ukubali kufa kwa ajili ya yule ambaye na yeye yuko tayari kufa kwa ajili yako......
Hujajibu swali[emoji23]Moyo ndo unaongea japo kila mtu na kifo chake. Ila kujitoa uhai sio jambo poa kabisa. Sisemi siwezi kufa nawala sisemi mtakufa kwa sababu iyo ila naomba mungu aniepushe na vifo vya ajabu. Amin
Unakufa kisa fumanizi[emoji23]Labda kufa kama tukio unganishi mfano umemfumania unapta presha unakufa
Kwa ajil ya wazazi na ndgu zangu wa tumbo moja nipo tyrNimekua nikiangalia sana muvi na kizungu na nimeona sehemu nyingi mtu anajitoa kufa kwa ajili ya anayempenda(kupigwa risasi badala ya mwingine n.k)
Sasa natafakari sipati majibu kwasababu tunajua kwamba binadamu unaishi mara moja tu, hivo hamna cha muhimu zaidi ya uhai wako binafsi.....
Lakini nikifikiria wale ninaowapenda haswa mama yangu mzazi, ambaye kiukweli amejitoa sana kwa ajili yangu, naona kama sielewielewi[emoji23]
Tuambizane je uko tayari kufa kwa ajili ya umpendae? Sio lazima mpenzi, hata wazazi, ndugu au marafiki wa karibu....
Vipi kuhusu mchepuko[emoji23]Kwa ajil ya wazazi na ndgu zangu wa tumbo moja nipo tyr