Unaweza kufanya kipimo cha Urinalysis majibu yakatoka safi ila ukawa na shida ya figo?

Azimio la kazi

Senior Member
Joined
Jun 7, 2023
Posts
138
Reaction score
452
Wakuu msinichoke, naamin JF ni chombo chenye watu wenye experience mbalimbali.

Naomba kuuliza hivi kuna uwezekano wa kufanya kipimo cha urinalysis na majibu yakawa clear kabisa yaani mkojo hauna shida., Lakini still mtu akawa na shida ya Figo?
 
Wakuu msinichoke, naamin jf ni chombo chenye watu wenye experience mbalimbali.

Naomba kuuliza iv Kuna uwezekano wa kufanya kipimo Cha urinalysis na majibu ya Kawa clear kabisa yani mkojo Hauna shida., Lakin still mtu akawa na shida ya Figo.
Inawezekana kabisa... Maanake shida sio uchafu ktk mkojo, inaweza kuwa misuli ktk figo nk... Wacha matabibu waje kwa MAELEZO zaidi🙏
 
Wakuu msinichoke, naamin jf ni chombo chenye watu wenye experience mbalimbali.

Naomba kuuliza iv Kuna uwezekano wa kufanya kipimo Cha urinalysis na majibu ya Kawa clear kabisa yani mkojo Hauna shida., Lakin still mtu akawa na shida ya Figo.
urinalysis ni kwaajili ya ku detect microorganisms lakini shida ya figo inaweza kua hajiasababishwa na micro organisms
 
Wakuu msinichoke, naamin JF ni chombo chenye watu wenye experience mbalimbali.

Naomba kuuliza hivi kuna uwezekano wa kufanya kipimo cha urinalysis na majibu yakawa clear kabisa yaani mkojo hauna shida., Lakini still mtu akawa na shida ya Figo?
Jibu: NDIO mawe kwenye Figo yanatesa sana
 
Wakuu msinichoke, naamin JF ni chombo chenye watu wenye experience mbalimbali.

Naomba kuuliza hivi kuna uwezekano wa kufanya kipimo cha urinalysis na majibu yakawa clear kabisa yaani mkojo hauna shida., Lakini still mtu akawa na shida ya Figo?
Ni kweli, majibu ya mkojo/urinalysis yanaweza kuwa sawa na bado figo zikawa na shida.

1: Shida ya kiutendaji inaweza kuonekana kwenye mkojo. Ingawa itategemea na kiasi cha shida yenyewe.

2: Shida ya nyingine za kimaumbile huweza kuzipata kwenye majibu ya kipimo cha mkojo.

Vipimo mbalimbali husaidiana/supplement each other.
 
Urinalysis tunazofanya huenda zisioneshe shida ya figo. Uhakika zaidi ni kulinganisha kinachoonekana kwenye urine na vipimo vya damu (creatinine, BUN, electrolytes). Hata ultrasound pia inaweza kutoa ishara (kidney size, CMD na flow ya damu).
 
Back
Top Bottom