Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Inawezekana kabisa... Maanake shida sio uchafu ktk mkojo, inaweza kuwa misuli ktk figo nk... Wacha matabibu waje kwa MAELEZO zaidi🙏Wakuu msinichoke, naamin jf ni chombo chenye watu wenye experience mbalimbali.
Naomba kuuliza iv Kuna uwezekano wa kufanya kipimo Cha urinalysis na majibu ya Kawa clear kabisa yani mkojo Hauna shida., Lakin still mtu akawa na shida ya Figo.
urinalysis ni kwaajili ya ku detect microorganisms lakini shida ya figo inaweza kua hajiasababishwa na micro organismsWakuu msinichoke, naamin jf ni chombo chenye watu wenye experience mbalimbali.
Naomba kuuliza iv Kuna uwezekano wa kufanya kipimo Cha urinalysis na majibu ya Kawa clear kabisa yani mkojo Hauna shida., Lakin still mtu akawa na shida ya Figo.
Mkuu na maswali mengi sana, sio kwamba hata level ya protein na creatine kwenye mkojo ikiwa detected ni alama ya Figo yenye shida??urinalysis ni kwaajili ya ku detect microorganisms lakini shida ya figo inaweza kua hajiasababishwa na micro organisms
Ni kweli, hata chembechembe nyekundu za damu.Mkuu na maswali mengi sana, sio kwamba hata level ya protein na creatine kwenye mkojo ikiwa detected ni alama ya Figo yenye shida??
Jibu: NDIO mawe kwenye Figo yanatesa sanaWakuu msinichoke, naamin JF ni chombo chenye watu wenye experience mbalimbali.
Naomba kuuliza hivi kuna uwezekano wa kufanya kipimo cha urinalysis na majibu yakawa clear kabisa yaani mkojo hauna shida., Lakini still mtu akawa na shida ya Figo?
Ni kweli, majibu ya mkojo/urinalysis yanaweza kuwa sawa na bado figo zikawa na shida.Wakuu msinichoke, naamin JF ni chombo chenye watu wenye experience mbalimbali.
Naomba kuuliza hivi kuna uwezekano wa kufanya kipimo cha urinalysis na majibu yakawa clear kabisa yaani mkojo hauna shida., Lakini still mtu akawa na shida ya Figo?